Katika taarifa yake, Hezbollah imetoa pongezi kwa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Imam Sayyid Ali Khamenei, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian na Wananchi wa Iran kwa ujumla kwa kuadhimisha…
Hojjat-ul-Islam wal-Muslimeen Arif Hussein Wahedi, Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Mshikamano wa Kitaifa la Pakistan amesisitiza katika taarifa yake kwamba, Taifa la Palestina liliharibu kabisa…
Ujumbe wa vuguvugu la "Al-Nasr Amal", linaloongozwa na Malhem Al-Hujairi, Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Lebanon, ulitembelea mahali alipouawa Shahid Syed Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa…