Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom ilisema: Onyo zito la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi kuhusu kufanya mazungumzo na Marekani kwa hakika ni agizo kwa Serikali na lazima lifuatwe na kutekelezwa…
Ayatollah Nouri Hamedani akiashiria mapendekezo ya Imam Khomeini (r.a) kuhusiana na kuamiliana na watu amefafanua kuwa: Watu ndio jambo kuu (ndio asili) na kipaumbele cha kwanza cha viongozi…