Maadili (4)
-
KiswahiliSomo la Maadili | Hofu na Matumaini; Mabawa mawili ya kuruka kuelekea kwa Mwenyezi Mungu
Hawza / Hofu nzuri, ni kama vile kuogopa (adhama) ukuu wa Mwenyezi Mungu au Uadilifu wa kimungu, ni suala la kiasili. Matendo yetu yameandikwa na Malaika. Ikiwa akili itaishinda nafsi, Mwanadamu…
-
Ayatollah al_udhma Jawadi A'mouli:
KiswahiliHakuna mtu ana haki ya kuharibu utu (heshima) yake
Hawzah/ Hadhrat Ayatollah Jawadi A'mouli amesisitiza umuhimu wa kuhifadhi sifa (heshima) ya Muumini na akasema: Heshima ya Muumini ni amana ya Mwenyezi Mungu. Heshima yake ni ya Mwenyezi Mungu,…
-
Ayatollah Mahmoud Rajabi katika somo la maadili (Akhlaq):
KiswahiliUsiweke kikomo maarifa kwa dhana za kiakili
Mjumbe wa Baraza Kuu la Seminari akisisitiza kwamba ujuzi haupaswi kutegemea dhana za kiakili pekee, alisema: Kujijua (kujitambua) si jambo la mtu binafsi tu, bali pia ni msingi wa kujenga jamii…
-
KiswahiliSomo la Maadili (Akhlaq) | Kiasi; ni sanaa kubwa ya Maisha ya Kiislamu
Kiasi (Wastani) katika Fikira za Kiislamu, ni zaidi ya pendekezo rahisi, ni Kanuni ya msingi katika nyanja zote za Maisha.