Imesisitizwa katika riwaya kwamba Wazayuni wataangamizwa kwa Mapinduzi haya, Waislamu na Wafuasi na Wapenzi wa Ahlul-Bayt (a.s) watapata izza na utukufu na itibari, na Serikali hii ndiyo itayokuwa…